Mi nishasamehe kitambo mbona..Sema imani tu ndo imepoteaMume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.
Mume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.
Yani mwanamke uliyempenda leo watu wanamwita matapishi..Inauma sana aisee..Sema ndo kipimo alichojipimia mwenyewe..Hamna namnaPole sana ila mkeo aliteleza ameishajirudi inabidi umsamehe
Jamani jamani, sasa tutaishije bila imani?Mi nishasamehe kitambo mbona..Sema imani tu ndo imepotea
We kumbe ushanyakuliwa??i love you every second honey
Hili swali lililenga nini mume wangu?We kumbe ushanyakuliwa??
Anajifariji tu yule.Yani mwanamke uliyempenda leo watu wanamwita matapishi..Inauma sana aisee..Sema ndo kipimo alichojipimia mwenyewe..Hamna namna
yap Kaboom, kwan ulikuwa na wazo la kuniambia?🙁We kumbe ushanyakuliwa??
Acha tulee tu mamitoJamani jamani, sasa tutaishije bila imani?
Teh teh..Mbona lipo uchi kabisaHili swali lililenga nini mume wangu?
Hayo maneno hayana maana tena atiyap Kaboom, kwan ulikuwa na wazo la kuniambia?🙁
ulikuwa unataka kunambia nini atiHayo maneno hayana maana tena ati
Nami nasubiri jibu[emoji101] [emoji101]ulikuwa unataka kunambia nini ati
Kwahiyo mapenzi ndio basi tena tunabakia tu kulea?Acha tulee tu mamito
mhhhh atoto y unapiga chabo lakini?Nami nasubiri jibu[emoji101] [emoji101]
Yaani hujui tu namna hilo jibu ninavyolisubiri kwa hamu.mhhhh atoto y unapiga chabo lakini?
nini tena? wataka kumfanya nini Kaboom wa watu?Yaani hujui tu namna hilo jibu ninavyolisubiri kwa hamu.