Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Mume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.

Mume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.
Mi nishasamehe kitambo mbona..Sema imani tu ndo imepotea
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila huu uzi balaa,hahahaaaaaa hadi JPM anatumiwa salam,

Haya kwa mara nyingine zimfikie my folk Trump,Arusha one na general galadudu.Naachia laini.
 
Napenda kutuma salamu kwa wana jamii forum wote. Ujumbe nawaambia , Salam haitii mimba...

Naachia laini
 
Salam kwa mama wa ATCL, muheshimiwa Lipumba, na mtukufu

UJUMBE; siasa ni unafiki .
 
salamu zangu zimfikie bwana malima ndelema namuambia tutawasiliana kupitia crdb
 
Back
Top Bottom