Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

CHEKA UNENEPE.

Kuna mzee m1 wa kipemba alikua anafundishwa kusali,

Baada ya kumaliza atahiyatu ustadh akamwambia. Sasa toa salam sala yetu imekamilika.

Eeee.... Jamaa akaanza

Nansalimia haloo mafunda wa kiuiyu,

Nantolea salam chachi SITI wa Kinuni unguja,

Nantolea salamu AMI RASHIDI wa OLE,

NA bila ya kunsahau KAKE HAMAD akaae daraja bovu UNGUJA.

Ustadhi kwa hasira akamwambia bado na NKEO hujamsalimia, mjinga mkubwa we.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Haha... Nikua "field" katika eneo korofi.. lenye network korofi.. Ila kwa sasa nimerejea.. tupo pamoja Mtani.
Karibu tena mtani maana barza huwa nzuri mkiwa watu mnaojua mpira na mana nzima ya utani huwa burdaaaaan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…