jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama kawaida yako ulijificha kumuogopa Tambwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]CHEKA UNENEPE.
Kuna mzee m1 wa kipemba alikua anafundishwa kusali,
Baada ya kumaliza atahiyatu ustadh akamwambia. Sasa toa salam sala yetu imekamilika.
Eeee.... Jamaa akaanza
Nansalimia haloo mafunda wa kiuiyu,
Nantolea salam chachi SITI wa Kinuni unguja,
Nantolea salamu AMI RASHIDI wa OLE,
NA bila ya kunsahau KAKE HAMAD akaae daraja bovu UNGUJA.
Ustadhi kwa hasira akamwambia bado na NKEO hujamsalimia, mjinga mkubwa we.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Najificha kwa timu gani? Nilikua eneo korofi.Naona kama kawaida yako ulijificha kumuogopa Tambwe
Karibu tena mtani maana barza huwa nzuri mkiwa watu mnaojua mpira na mana nzima ya utani huwa burdaaaaan.Haha... Nikua "field" katika eneo korofi.. lenye network korofi.. Ila kwa sasa nimerejea.. tupo pamoja Mtani.
Shukrani Mkuu.Karibu tena mtani maana barza huwa nzuri mkiwa watu mnaojua mpira na mana nzima ya utani huwa burdaaaaan.
Ananirusha roho tu huyo.Hii sentensi ya mwisho ni uchochezi wa moyo huu! Wahenga husema yaliyopita yamepita
Eti wanasemaga wapenzi hawaachanagi sijui ni kweli au lah!Hii sentensi ya mwisho ni uchochezi wa moyo huu! Wahenga husema yaliyopita yamepita
Kwa visingizio hata Julio hakufikiiNajificha kwa timu gani? Nilikua eneo korofi.
Katoa udhuru kuwa alikuwa sehemu korofi mimi nimemridhia nakuomba nawe ndugu yangu mridhieNaona kama kawaida yako ulijificha kumuogopa Tambwe
Kasusa huyo huko kwa kina twambombo tununu.Kwa visingizio hata Julio hakufikii
Lakini kukipasha hakina gharama na muda mwingi kama kupika upya ujue!Eti wanasemaga wapenzi hawaachanagi sijui ni kweli au lah!
By the way ni salamu tu
Alaah! kumbe figisu figisu zote hizi mawe ya kizani yana shabaha!Ananirusha roho tu huyo.