Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

napenda kuwatumia salamu

1.lizaboni
2.simiyu yetu

ujumbe . ...kuona meng ni kujifunza meng bombadia imewasili sasa tunataka kushuhudia safar za nje za boss maana hazitumii mafuta sana
 
Ndio unakusanya ushahidi??[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Yani we haukwepo nyumbani mwaka mzima lakini mi nikakutunzia penzi lako..Mi kuondoka kidogo tu ukaamua kupasha joto kitanda..We jipu aisee
 
Yani we haukwepo nyumbani mwaka mzima lakini mi nikakutunzia penzi lako..Mi kuondoka kidogo tu ukaamua kupasha joto kitanda..We jipu aisee
Mume wangu jamani walaaaa sijachepuka, Heaven Sent ndio aliniambia amri kuu ni upendo hivyo nisambaze upendo.
Patience alikuwa spy wangu..Ila nashangaa hajanipa taarifa yeyote..Sijui umemuhonga nae
Sijamuhonga bali aliona hakuna kitu chochote kibaya kinachoendelea.
 
Yaani acha kabisa mpaka nimekonda.

Baada ya kutelekezwa na mume ndio nikapata kipoozeo Rogie kidogo nikapata kahaueni, tooba siku si nyingi si ndio nikambamba mchana kweupeeee anachepuka[emoji134] [emoji134]
Hakyanani umenichoka, sio kwa kunisingizia huko.
 
Natuma salamu kwa
Evelyn salt akiwa Singida,
Massai dada popote pale alipo na Okwi,boban,sunzu.
Love u all my frnds.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…