Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe una mpenda mume wako bado eeeh ila na yeye unajifanya unampenda?Sasa mimi nimemdanganya nn?
Yani we haukwepo nyumbani mwaka mzima lakini mi nikakutunzia penzi lako..Mi kuondoka kidogo tu ukaamua kupasha joto kitanda..We jipu aiseeNdio unakusanya ushahidi??[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Karibu mpendwaNimekupenda bure
Mucho luv doutaYou think I enjoyed the way you humiliated my daddy eeh
Patience alikuwa spy wangu..Ila nashangaa hajanipa taarifa yeyote..Sijui umemuhonga naeNdio unakusanya ushahidi??[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mume wangu jamani walaaaa sijachepuka, Heaven Sent ndio aliniambia amri kuu ni upendo hivyo nisambaze upendo.Yani we haukwepo nyumbani mwaka mzima lakini mi nikakutunzia penzi lako..Mi kuondoka kidogo tu ukaamua kupasha joto kitanda..We jipu aisee
Sijamuhonga bali aliona hakuna kitu chochote kibaya kinachoendelea.Patience alikuwa spy wangu..Ila nashangaa hajanipa taarifa yeyote..Sijui umemuhonga nae
Hata kusema asanteeee?mhhhh!!!!Hahaahha una vituko sana wewe.
Hakyanani umenichoka, sio kwa kunisingizia huko.Yaani acha kabisa mpaka nimekonda.
Baada ya kutelekezwa na mume ndio nikapata kipoozeo Rogie kidogo nikapata kahaueni, tooba siku si nyingi si ndio nikambamba mchana kweupeeee anachepuka[emoji134] [emoji134]
Shukrani sanaHata kusema asanteeee?mhhhh!!!!
Hahaaaa!! Nakusingizia eti?Hiyo ni janja yako tu, nilishaanza kukushtukia kitambo.
Nini?
Ulivyofanya unadhani vizuri?Hakyanani umenichoka, sio kwa kunisingizia huko.