Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mie mbona nampa sapoti sana ni yeye tu anashindwa kujiaminiAnahitaji faraja khasa kutoka kwa mshindani wake kama weye so mtie nguvu ajiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mbona nampa sapoti sana ni yeye tu anashindwa kujiaminiAnahitaji faraja khasa kutoka kwa mshindani wake kama weye so mtie nguvu ajiamini
Ndio nini hiyo? Pesa au?Ok kumbe wapisha msongamano! ila sio mbaya kunguru muoga washahili husema huishi miaka 100 kama umeliona hilo kila la kheri nadhani jiandae kupokea Kassim majaliwa nyingi
Hahahaha na bado ulidhani kuiba raha eee[emoji1]Ila mi sikuiba ujue[emoji12]
Hapana, haya malipo yangu yamekuja mapema sana.
Hivi dota nini lakini? Alichonifanyia baba yako mungu anamuona.
Kwani nimekuuliza wewe?Acha kujiteteaHapana, huyu ni kaka shemeji, mume wa mdogo wangu cute b.
Kama anavyokuona wewe eehHivi dota nini lakini? Alichonifanyia baba yako mungu anamuona.
Kassim majaliwa (pm )Ndio nini hiyo? Pesa au?
Usinifanyie hivyo jamani, mie mdogo wako ujue.Hahahaha na bado ulidhani kuiba raha eee[emoji1]
Valentina njoo huku umuone rafiki yako
Kama wapemba kasema yesheeeMie mbona nampa sapoti sana ni yeye tu anashindwa kujiamini
Hahahaaaa! Nimeona hajibu imebidi nimsaidie.Kwani nimekuuliza wewe?Acha kujitetea
Jamani jamani dota, we ndio wa kunifariji ujue.Kama anavyokuona wewe eeh
Huyu muoga na hakuna msongamano sema haujamshika haswaa mbona nilipokuwa nae hakuwa na michepuko?Anatakiwa akabe kila kona atiii usikate tamaa kihasara hasara hivyoOk kumbe wapisha msongamano! ila sio mbaya kunguru muoga washahili husema huishi miaka 100 kama umeliona hilo kila la kheri nadhani jiandae kupokea Kassim majaliwa nyingi
Atakufariji RogieJamani jamani dota, we ndio wa kunifariji ujue.
Mbona unatiisha huruma hivyo?Haya nieleze shida ni nini?Usinifanyie hivyo jamani, mie mdogo wako ujue.
Nimekosa bara na pwani, mume kanimwaga na mchepuko nao una miiba!!
Huyo valentina ndio usimuite kabisa, utasababisha nikonde zaidi.
Khaaaaah!! Basi umrudie wewe maana mnawezana, mie nimemshindwa.Huyu muoga na hakuna msongamano sema haujamshika haswaa mbona nilipokuwa nae hakuwa na michepuko?Anatakiwa akabe kila kona atiii usikate tamaa kihasara hasara hivyo
Dota tafadhali bwana.Atakufariji Rogie
Hehehe unalo. Ulijifanya kumflaunt rogie mbele za watu, ulidhani daddy hajaona, nimemfikishia ujumbeDota tafadhali bwana.
Yaani acha kabisa mpaka nimekonda.Mbona unatiisha huruma hivyo?Haya nieleze shida ni nini?