Tuma salamu kwa Mdau mmoja kwenye huu uzi kuadhimisha siku ya Radio duniani

Salam kwa mzee wa Makongorosi Chunyq
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€redio siku hizi watu hawasikilizi
Lakini duniani kote Radio Ndiyo chanzo kikuu habari. Means population kubwa wanasikiliza radio., nenda Gwanumpu huko uone radio inavyo tawala. Hata ulaya radio inasikilizwa sana mkiwa kazini, kwenye viwanda na warehouse ni radio na kazi. TV mtakutana nayo canteen wakati wa break tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ