Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Š asante
 
Unamwongelea mwanamke yupi?

Kama ni Hellen White, Mimi Si msabato, wasabato Si wakristo.
Kifupi wahubiri dini wasiojielewa hudhΓ ni ukitukana kuwa mke wa mtu ni malaya kutafanya mke wake malaya aonekane mtakatifu

Kutukana na kukosoa dini za wengine hakufanyi dini yako ionekane nzuri ni mahubiri hopeless

You can win argument but nit the Heart

Hubiri chako watu wakikiona kizuri watakuja kujikita tu kuongelea ooh kanisa katoliki ndie yule malaya kahaba ametajwa kitabu cha ufunuo haikupi pointi za wakatoliki kuacha ukatoliki kuja kidini chako

Yesu aliagiza watu wahubiri injili sio dini za watu hicho kidini chako cha kipagani hakihubiri Injili kinahubiri dini za watu wakatoliki nk kuwa challenge wajiunge na kidini chako Muumini mzuri hupatikana kwa kuhubiri injili tu ya Yesu Kristo mwokozi aokoaye watu na dhambi zao na kuwabadilisha sio ndoto za malaika watatu au vitabu vya mfalme costantino nk

Dini ya mtu hata uhubiri vipi na kuiponda awe Mkristo msali jumapili na msherehekea Krismasi au Mwislamu au mpagani haiokoi na haiwezi mfanya mtu awe mfuasi wa Kristo hata ukimpata atakuwa muumini tu wa dini ya sabato au ya kidini chako kiti moto anakula na pombe anakunywa na umalaya upo palepale ukitaka kujua wasabato wakoje uliza walevi bar wanawajua vizuri wako kibao hadi wahudumu hadi grocery za pombe na bar wanamiliki na pia walevi wa kutupwa na ni viongozi wa makanisa ya sabato na kidini chako.
Nenda bar yeyote utakutana na wasabato kibao kuanzia wamiliki bar,kitimoto na wahudumu jumamosi lazima waende kanisani Wengi wao hawana nguvu saba ya usabato zaidi ya kukomalia kusaki jumamosi kirohi hamna kitu Weupee

Yesu anakupenda mkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wako Omba aingie moyoni mwako akubadilishe mwili na nafsi na Roho akusamehe dhambi afute jina lako kitabu cha hukumu akuaandike kitabu cha uzima uokoke na uanze maisha mapya ndani ya Yesu sio maisha mapya ndani ya dini iwe sabato nk

Ubarikiwe kwa kukubali kuokoka uwe mfuasi wa Yesu sio dini ya Sabato au ya vitabu vya mfalme costantino na Hellen White nk kwa jina la Yesu..

Mungu kuanzia sasa na akubadilishe uwe mfuasi wa Yesu sio wa dini yeyote iwe sabato ,au yeyote
 
Asante sana ndugu yangu.

Nakutakia Krismasi njema pamoja na mwaka mpya (2024) wenye heri kwako wewe binafsi pamoja na wapendwa wako wote.

Ubarikiwe sana mkuu πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
Mtu na nusu wewe bro, uishi Sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…