Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Hata birthday sisherehekei.

Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.

Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.

Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.

Amen
Ndugu yangu, huwezi kubadilisha ambacho mtu mwingine ana amini. Kuwa mpole amini kile unacho amini, acha mwenzao Aamini kile a nacho amini. Nikuulize swali mbona huoji awanacho abudu Wabudha, Shinto, Hindu, Singh nk nk.?
 
Nawatumia salamu mtoa mada na huyo mtu wake wa karibu. Nawapenda sana
 
Nimeambiwa hapa nisifungue huu uzi kwa kuwa haitegemewi tangu kuumbwa kwa JF nikasalimiwa. Nafkiri ni kiherehere changu tu kuufungua
 
Ndugu yangu, huwezi kubadilisha ambacho mtu mwingine ana amini. Kuwa mpole amini kile unacho amini, acha mwenzao Aamini kile a nacho amini. Nikuulize swali mbona huoji awanacho abudu Wabudha, Shinto, Hindu, Singh nk nk.?
Sihangaiki na wapagani,

Lakini wanaojiita wakristo wa kuigiza, hao ni halali yangu.

Pia ujue Si wote wanajua Kweli kuwa Yale ni masanamu na mafundisho ya Uongo.

ELIMU lazima, maonyo na makaripio!!
 
Miaka miwili sasa siruhusiwi kukanyaga hosp ya ruvu. Nadhani dk nimefukuzwa kazi kijanja
20230928_100939.jpg
 
Back
Top Bottom