Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
1.To yeyeHERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU,
Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake...
Malizia na ujumbe "Nampenda Sana"
Mimi naanza kutuma salamu kwa Mtu wangu wa karibu Heaven Sent pamoja na Mohamed Said
Ujumbe : Nawapenda sana
2. Cocastic
Hamna baya na mtu hapa jf
Nawapenda sana.