Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Anayeabudiwa tarehe 25 December ni Tamuzi, muungu wa Babeli aliyeingizwa afanane na YESU Ili aabudiwe Kwa Siri na wakristo. Hiyo ni KAZI ya waroma.

Mnaabudu miungu Kwa kujua au kutojua.

Soma (Yeremia 7:17-18), (Ezekiel 8:1-20), (Mwanzo 1:8) Nimrod ndiye baba wa Tamuzi wa mchongo.
Mungu hayupo ,dini ni utapeli ,ila kula skukuu mkuu , au nikutumie pesa ya ata soda mkuu.
 
Jamani mwenye maelezo mazuri hii krismas ilitokana na nini maana kuna mkakanganyiko sana hapa kuhusu hii siku
Mwisho wa mwaka tu, wazungu wameamua kuchagua siku 2 za kufurahi, kula vizuri, kutembeleana na kupeana zawadi. Maana watu huwa washafanya kazi mwaka mzima hawajapumzika wala kutembelana.

Just kidding 😁
 

Attachments

  • IMG-20231225-WA0033.jpg
    IMG-20231225-WA0033.jpg
    48.9 KB · Views: 3
Dada To yeye salamu zikufike hapo ulipo ila nakukumbusha kuwa ni hapa City Pub Mwanjelwa tafadhali ukiweza jongea ila kikubwa nakupenda bure ila upendo wa Agape sio wa dyudyu.

Zingine nazituma kwa ndugu yangu DR Mambo Jambo ndugu mwaka umeisha ndugu yako nabadilika sasa naunza mwaka na mambo mapya twende tukazitetee afya za watanzania .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Shida ya dini kuchanganya Biblia,Ndoto za mwanamke kalala kaota malaika watatu na mafundisho ya kipagani na kujenga doctorine ya kanisa la sabato.Kama ulivyoandika hapo ni mchanganyiko wa hayo matatu

Ukristo unajengwa kwenye kitu kimoja tu Biblia pekee sio hayo matatu
Unamwongelea mwanamke yupi?

Kama ni Hellen White, Mimi Si msabato, wasabato Si wakristo.
 
Back
Top Bottom