min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mungu hayupo ,dini ni utapeli ,ila kula skukuu mkuu , au nikutumie pesa ya ata soda mkuu.Anayeabudiwa tarehe 25 December ni Tamuzi, muungu wa Babeli aliyeingizwa afanane na YESU Ili aabudiwe Kwa Siri na wakristo. Hiyo ni KAZI ya waroma.
Mnaabudu miungu Kwa kujua au kutojua.
Soma (Yeremia 7:17-18), (Ezekiel 8:1-20), (Mwanzo 1:8) Nimrod ndiye baba wa Tamuzi wa mchongo.