Ndugu yangu, huwezi kubadilisha ambacho mtu mwingine ana amini. Kuwa mpole amini kile unacho amini, acha mwenzao Aamini kile a nacho amini. Nikuulize swali mbona huoji awanacho abudu Wabudha, Shinto, Hindu, Singh nk nk.?Hata birthday sisherehekei.
Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.
Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.
Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.
Amen