Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Kuna member mmoja wa kike humu nampendaga sanaa,,,,,sipo tayr kumtaja mana atavimba sanaaaaaa........afu itakua tatizo zaidi. Namtakia chrismass njema
 
Salam zangu zimfikie [mention]AshaDii [/mention] [mention]Drgwajima [/mention] nawakubali sana..
 

Asanteni sana Mama Mwana na EMMYGUY

Heri ya sikukuu na kwenu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ