Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Anayeabudiwa tarehe 25 December ni Tamuzi, muungu wa Babeli aliyeingizwa afanane na YESU Ili aabudiwe Kwa Siri na wakristo. Hiyo ni KAZI ya waroma.

Mnaabudu miungu Kwa kujua au kutojua.

Soma (Yeremia 7:17-18), (Ezekiel 8:1-20), (Mwanzo 1:8) Nimrod ndiye baba wa Tamuzi wa mchongo.
Wewe msabato na itikadi yenu ya SDA umeshawehuka.
 
TANESCO mmerogwa au? Mnakatakata umeme ovyo ovyo tu mnavyojisikia tena bila hata sababu, juzi mmetoka kupigwa madongo na Makonda kwamba ndio Mama Samia amewatuma mfanye hivyo naona mnapariria zaidi yaan mnakatakata tu umeme ovyo ovyo tu ndio mlivyotumwa?
una wawish tanesco au umeparamia mtumbwi wa wajuba?
 
Back
Top Bottom