Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

HERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU,

Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake...

Malizia na ujumbe "Nampenda Sana"

Mimi naanza kutuma salamu kwa Mtu wangu wa karibu Heaven Sent pamoja na Mohamed Said

Ujumbe : Nawapenda sana
Jamani ubarikiwe sana Azarel
Kheri ya Christmas kwako na kwa familia zako.
 
Hata birthday sisherehekei.

Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.

Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.

Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.

Amen
Huna kipato na huna hela kwahyo hata mambo ya kawaida kufanya ww utaona hayafai au ni anasa umaskini ni laana
 
Ukweli kuhusu maisha
pp.jpg
 
Back
Top Bottom