Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Munyu Evelyn SaltHERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU,
Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake...
Malizia na ujumbe "Nampenda Sana"
Mimi naanza kutuma salamu kwa Mtu wangu wa karibu Heaven Sent pamoja na Mohamed Said
Ujumbe : Nawapenda sana
Nywokee 😂😂long time ago oooh in JLW Word Certified Hater pdf zenu za Vellama ninazo PM mje mchukue hata kama mliokoka 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mxiiie
Nimecheka mpaka nimelala chini! 🤣🤣hiyo ni baby tu
Ngoja naweka thread kuhusu hilo sasa hivi Mkuu.Kwani ule uzi wa umbea wa usiku uko wap umefutwa au?
😀😀 mambo mengi boss wangu..
Location wapi nikusogezee plate ya choma choma
Hivi kwanini usi-concentrate na ya huko unakokuona kuzuri?? Hivi imani yako haikamiliki bila kuwataja waroma??Anayeabudiwa tarehe 25 December ni Tamuzi, muungu wa Babeli aliyeingizwa afanane na YESU Ili aabudiwe Kwa Siri na wakristo. Hiyo ni KAZI ya waroma.
Mnaabudu miungu Kwa kujua au kutojua.
Soma (Yeremia 7:17-18), (Ezekiel 8:1-20), (Mwanzo 1:8) Nimrod ndiye baba wa Tamuzi wa mchongo.
tuliza mshono ngo'mbe wewe, watu hatujakutana siku ya Gulio katereo au tengeru,Nywokee 😂😂
Bado hujasema shoo 😂😂😂tuliza mshono ngo'mbe wewe, watu hatujakutana siku ya Gulio katereo au tengeru,
Haha shaka ondoa..Nifanye nami niwe sehemu ya hayo mambo mengi 😊
Nipo kwenye kitovu cha nchi nakula sikukuu na wenye nchi...
Hii ni kweli angalia resolution ya Picha editing mara nyingi huwa na resoulution high kidogoMkuu hii ni kweli? Au watakuwa wame edit tu kufurahisha watu?
aikoooh 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 shenzzzyBado hujasema shoo 😂😂😂