Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Jamani ubarikiwe sana AzarelHERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU,
Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake...
Malizia na ujumbe "Nampenda Sana"
Mimi naanza kutuma salamu kwa Mtu wangu wa karibu Heaven Sent pamoja na Mohamed Said
Ujumbe : Nawapenda sana
Huna kipato na huna hela kwahyo hata mambo ya kawaida kufanya ww utaona hayafai au ni anasa umaskini ni laanaHata birthday sisherehekei.
Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.
Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.
Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.
Amen
Aisee ni heshima kubwa sana umenipa. Kheri ya Christmas mkuu. Mungu akubariki sana*Heaven sent
*Faizafoxy
Mungu awape afya na maisha marefu.
Nawaheshimu sana.
Best 🤣🤣🤣🤣malizia jamani b bati au bata?
Is one sided love neccesary? 🤣🤣 nimeghairi kupokea hizo salamu 🫠
Ahsante sana Chaz,, heri ya Krismas na kwako na uwapendao.
hiyo ni baby tuBest 🤣🤣🤣🤣
Eeh naenzi mnayopitia🤣🤣Is one sided love neccesary? 🤣🤣 nimeghairi kupokea hizo salamu 🫠
DAaah nimecheka sana🤣🤣.Na wewe pia
passion_amo1 nakukubali sana ndugu yangu..
Ila bila kumsahau ndugu yangu..
Kisai ntakuwa sijatenda haki..
View attachment 2852501
😂😂 ni kufosi things hapana namna ingine, jua ni kali..Eeh naenzi mnayopitia🤣🤣
mcheshi mpole na mbishi...🤣Basi sawa.. Niambie basi walau main characters zako mbili 😇
kama hivyo sawa.. Awe na tabia kama zakomcheshi mpole na mbishi...🤣