Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Jamani mwenye maelezo mazuri hii krismas ilitokana na nini maana kuna mkakanganyiko sana hapa kuhusu hii siku
Ukiona kuna mkanganyiko, basi tambua fika hiyo sikukuu haikuhusu! Na hivyo waachie wenye sikukuu yao wafurahie, na wewe endelea na shughuli zako za kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…