Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu.
Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm wenzangu tungumbuke yakwamba huyu mtu anapoendesha hizi kesi ashinde asishinde lazime alipwe na serikali.
Kwa hiyo, kwa mazingira haya yeye kweka nikama anafanaya biashara.
Lakini kwa upande mwingine anatumika kisiasa na wafanyabiashara waliokuwa wanakwepa kodi katika biashara zao kwalengo la kumkomoa Sabaya na kulipiza kisasi.
Naweza kutafsiri kama ni njia nyingine ya upigaji pesa kama njia zingine tu ila tofauti nikamba yeye anatengeneza mazongira ya kupata uwalali..
Tunaomba serikali ya awamu ya sita kama inaheshimu kodi za wananchi ifutwe hizi kesi za Sabaya isiyokuwa na nyumba wala mbele ili pese ipelekwe kwenye matumizi mengine.
Naamini kesi ya mbowe imetumia pesa nyingi sana ambayo nikodi ya wananchi lakini mwisho wa siku kesi ikaisha kisiasa.