Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

Kumtoa ubunge mwamba wa Machame na kudhibiti kitovu cha wizi machame ndio kosa kubwa alilofanya Sabaya.
Malizia na ujambazi wa kutishia watu na kisha kunyang'anya hela. Kuwalazimisha wake za watu kulala nao. Kunywa pombe bar mbalimbali na kugoma kulipa akijitapa yeye ni usalama.
 
Malizia na ujambazi wa kutishia watu na kisha kunyang'anya hela. Kuwalazimisha wake za watu kulala nao. Kunywa pombe bar mbalimbali na kugoma kulipa akijitapa yeye ni usalama.
Hivi aliemteuwa hakuwahi hata kusikia fununu ya haya? Ndo maana mchakato wa kumuweka madarakani milele ulikuwa unafanyika kwa kasi kubwa sana. "Yaani mshahara nikulipe na usafiri nikupe halafu umtangaze mpinzani kashinda" " Niiiiileeeeteeeeniiiiii Gwaaajiiiiiiiimaaaaa" pumba.vu kabsa.
 
Bahati nzuri walikuwa wakiiba wanampelekea haraka sn
 
Huyu sabaya jambazi. Trip hii kamwaga watu hapa wa kumpigia pande. Ingekuwa nchi yenye utawala wa haki huyu sabaya ilikuwa amenyongwa huyu jambazi kwa matendo aliyowafanyia watu. Hayo mahakamani ni robo tu ya unyama wake. Wapo wengi aliowafanyia unyama wamenyamaza.

Kuna sabaya,makonda,hapi na wenzie ilikuwa wawe wamechezea mvua si chini ya 30
Jambazi sugu kabisa hili
 
Awape nini Sasa? Ni penzi tu pamoja na kushinda kutwa kucha Arusha kwenye mahotel ya kifahari kunywa pombe na ngono. MUULIZE GIGI MONEY ANUJUA VIZURI BATA ZA MFUNGWA SABAYA. Nandy yeye aliponea tundu la sindano kubakwa pale weruweru safari lodge
Yule alikuwa ni malaya na jambazi sugu
 
Awape nini Sasa? Ni penzi tu pamoja na kushinda kutwa kucha Arusha kwenye mahotel ya kifahari kunywa pombe na ngono. MUULIZE GIGI MONEY ANUJUA VIZURI BATA ZA MFUNGWA SABAYA. Nandy yeye aliponea tundu la sindano kubakwa pale weruweru safari lodge
Free Sabaya
 
Anatumia resources za serikali kufurahisha ndugu zake wachaga.

Jambo hili likemewe.
 
Hapo vip!!
Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu.

Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm wenzangu tungumbuke yakwamba huyu mtu anapoendesha hizi kesi ashinde asishinde lazime alipwe na serikali.

Kwa hiyo, kwa mazingira haya yeye kweka nikama anafanaya biashara.

Lakini kwa upande mwingine anatumika kisiasa na wafanyabiashara waliokuwa wanakwepa kodi katika biashara zao kwalengo la kumkomoa Sabaya na kulipiza kisasi.

Naweza kutafsiri kama ni njia nyingine ya upigaji pesa kama njia zingine tu ila tofauti nikamba yeye anatengeneza mazongira ya kupata uwalali..

Tunaomba serikali ya awamu ya sita kama inaheshimu kodi za wananchi ifutwe hizi kesi za Sabaya isiyokuwa na nyumba wala mbele ili pese ipelekwe kwenye matumizi mengine.

Naamini kesi ya mbowe imetumia pesa nyingi sana ambayo nikodi ya wananchi lakini mwisho wa siku kesi ikaisha kisiasa.

View attachment 2250500
Jambawazi Lengai ole saambovu anastahili kuwa ameoza kaburini leo hii na tuwe tumeshamsahau, hakuna kesi ya mchongo, bali kitabu chake alikiandika yeye mwenyewe!
 
Back
Top Bottom