Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

Kumtoa ubunge mwamba wa Machame na kudhibiti kitovu cha wizi machame ndio kosa kubwa alilofanya Sabaya.
Malizia na ujambazi wa kutishia watu na kisha kunyang'anya hela. Kuwalazimisha wake za watu kulala nao. Kunywa pombe bar mbalimbali na kugoma kulipa akijitapa yeye ni usalama.
 
Malizia na ujambazi wa kutishia watu na kisha kunyang'anya hela. Kuwalazimisha wake za watu kulala nao. Kunywa pombe bar mbalimbali na kugoma kulipa akijitapa yeye ni usalama.
Hivi aliemteuwa hakuwahi hata kusikia fununu ya haya? Ndo maana mchakato wa kumuweka madarakani milele ulikuwa unafanyika kwa kasi kubwa sana. "Yaani mshahara nikulipe na usafiri nikupe halafu umtangaze mpinzani kashinda" " Niiiiileeeeteeeeniiiiii Gwaaajiiiiiiiimaaaaa" pumba.vu kabsa.
 
Bahati nzuri walikuwa wakiiba wanampelekea haraka sn
 
Jambazi sugu kabisa hili
 
Awape nini Sasa? Ni penzi tu pamoja na kushinda kutwa kucha Arusha kwenye mahotel ya kifahari kunywa pombe na ngono. MUULIZE GIGI MONEY ANUJUA VIZURI BATA ZA MFUNGWA SABAYA. Nandy yeye aliponea tundu la sindano kubakwa pale weruweru safari lodge
Yule alikuwa ni malaya na jambazi sugu
 
Awape nini Sasa? Ni penzi tu pamoja na kushinda kutwa kucha Arusha kwenye mahotel ya kifahari kunywa pombe na ngono. MUULIZE GIGI MONEY ANUJUA VIZURI BATA ZA MFUNGWA SABAYA. Nandy yeye aliponea tundu la sindano kubakwa pale weruweru safari lodge
Free Sabaya
 
Anatumia resources za serikali kufurahisha ndugu zake wachaga.

Jambo hili likemewe.
 
Jambawazi Lengai ole saambovu anastahili kuwa ameoza kaburini leo hii na tuwe tumeshamsahau, hakuna kesi ya mchongo, bali kitabu chake alikiandika yeye mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…