johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumtafuta kwako ni kwa kheri?Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.
Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?
Jumaa kareem
Kheri tupu bwashee.Kumtafuta kwako ni kwa kheri?
Kumbe!Ameshasepa, kwa sasa ni mmwaga mapambio kwa Mama huko Twitter
Lakini ujumbe unafika sio.Kheri tupu bwashee.
Yule Benson anaongea kama anafoka tofauti na kamanda Makene!
Mapokeo yanakuwa tofauti!Lakini ujumbe unafika sio.
Bashiru Ally alikuwa KM wa CCM na KM Kiongozi kwa sasa ni Mbunge wa Kuteuliwa Sijamsikia Muda mrefu YUPO wapi ?Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.
Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?
Jumaa kareem
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.
Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?
Jumaa kareem
Bashiru alishaondolewa kwenye uongozi wa chama, huyu haijawahi kusikika kama kaondolewa au vipi! Anaonekana tu huko Twitter akimwaga mapambio kwa SamiaBashiru Ally alikuwa KM wa CCM na KM Kiongozi kwa sasa ni Mbunge wa Kuteuliwa Sijamsikia Muda mrefu YUPO wapi ?
Shaka!Kwani huko chama cha kijani msemaji wenu ni nani??
Maana Chakubanga alikua anawapa lecture ya uongozi chamani kwenu
Stay on your lane
Mawazo Yako ndio furaha Yako na yenu.Chadema wamepoteana, kama wako frequencies tofauti, Mwenyekiti anapambana kujinasua yuko katikati ya kina kirefu, ofisi ufipa hata mfagiaji sijui kama yuko, hali sio njema kwa kweli, ila wazungu sio watu wazuri, wanakutumia wee alafu wana ku dump kama takataka.
Ok stay on your lane budaa!Shaka!
Kwanini unapenda sn kufuatilia maisha ya watu wewe?Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.
Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?
Jumaa kareem
Hawana kazi wanasubiri kupiga mizinga kwa wahindiYaan CCM wakilala wanawaza Chadema....mtakufa kwa anxiety!
Halafu Chadema ndio hawana habari na nyie kabisa yaani....
Halafu mnasema eti Chadema imekufa,still kila baada ya sekunde mnatoa uzi kuizungumzia kama mmepagawa vile
This is so strange
Hatari snKwani huko chama cha kijani msemaji wenu ni nani??
Maana Chakubanga alikua anawapa lecture ya uongozi chamani kwenu
Stay on your lane
Chadema ni mali ya umma na watumishi wake kadhalika!Kwanini unapenda sn kufuatilia maisha ya watu wewe?
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.
Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?
Jumaa kareem
Anasema Chadema waliweka mashada ya maua!Kwani aliyekwambia Chadema wataunga mkono juhudi zq shamra shamra za Chatto jana anasema je?