Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA.

Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?

Jumaa kareem
 
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.

Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?

Jumaa kareem
Bashiru Ally alikuwa KM wa CCM na KM Kiongozi kwa sasa ni Mbunge wa Kuteuliwa Sijamsikia Muda mrefu YUPO wapi ?
 
Chadema wamepoteana, kama wako frequencies tofauti, Mwenyekiti anapambana kujinasua yuko katikati ya kina kirefu, ofisi ufipa hata mfagiaji sijui kama yuko, hali sio njema kwa kweli, ila wazungu sio watu wazuri, wanakutumia wee alafu wana ku dump kama takataka.
 
Bashiru alishaondolewa kwenye uongozi wa chama, huyu haijawahi kusikika kama kaondolewa au vipi! Anaonekana tu huko Twitter akimwaga mapambio kwa Samia
 
Chadema wamepoteana, kama wako frequencies tofauti, Mwenyekiti anapambana kujinasua yuko katikati ya kina kirefu, ofisi ufipa hata mfagiaji sijui kama yuko, hali sio njema kwa kweli, ila wazungu sio watu wazuri, wanakutumia wee alafu wana ku dump kama takataka.
Mawazo Yako ndio furaha Yako na yenu.
 
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.

Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?

Jumaa kareem
Kwanini unapenda sn kufuatilia maisha ya watu wewe?
 
Yaan CCM wakilala wanawaza Chadema....mtakufa kwa anxiety!

Halafu Chadema ndio hawana habari na nyie kabisa yaani....

Halafu mnasema eti Chadema imekufa,still kila baada ya sekunde mnatoa uzi kuizungumzia kama mmepagawa vile

This is so strange
Hawana kazi wanasubiri kupiga mizinga kwa wahindi
 
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lisu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya Chadema.

Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?

Jumaa kareem

Kwani aliyekwambia Chadema wataunga mkono juhudi za shamra shamra za Chatto jana anasema je?
 
Back
Top Bottom