Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Hakuna kitu kibaya kama kuwa na hopes

I really hate hopes
Sidhani kama unachukia hopes, wewe utakuwa unachukia false hopes.

Maana bila tumaini, hakuna ambaye angeanzisha biashara, kusoma, kujenga au kuingia kwenye mahusiano.

Tumaini likiambatana na uhalisia lina nguvu sana, lakini likiambatana na kujidanganya ndiyo linakuwa tatizo.
 
Acha upumbavu saivi nakuona kila nikabandika uzi unakuja kunifanyia taflani halafu unajichekesha hovyo we kama hunikibari pita hivi acha kuleata fake smile hapa 🚮🚮🚮
Take it easy what's problem?
wapi nimekuleta tafrani?

Ukishaleta thread hapa hairuhusiwi kupangia watu nini cha kuandika.

Jf a place where we dare to talk Open
 
Take it easy what's problem?
wapi nimekuleta tafrani?

Ukishaleta thread hapa hairuhusiwi kupangia watu nini cha kuandika.

Jf a place where we dare to talk Open
Uhuru wa kuandika hauondoi wajibu wa kujadili kwa hoja badala ya kejeli, ukiona mada ina mapungufu, ikosoe kwa mantiki ili wote tujifunze. Kejeli huwa haziijengi hoja wala haziongezi maarifa, zinaishia kuvuruga tu mjadala.
 
Hivi hua ni attention mnatafuta au hua ni nini?
Hivi umewahi kuona ni kidandia uzi wa mtu na kuanza upuuzi kama huu?

Hizi issue wangefanya wanawake ningelewa tunagombea bwana 🚮🚮🚮

Tatizo lako unachukulia vitu personal na kupanic huku ukireact kwa hasira tambua mtu akiweka maoni tofauti na unavyowaza unadhani anakuchukia kumbe sivyo tunajaribu kuchagiza mada ili tupate ile sense of discussions from elite people

Cc min -me
 
Take it easy what's problem?
wapi nimekuleta tafrani?

Ukishaleta thread hapa hairuhusiwi kupangia watu nini cha kuandika.

Jf a place where we dare to talk Open
Thread hii ni mali ya wana jukwaa kwa sasa
 
Tatizo lako unachukulia vitu personal na kupanic huku ukireact kwa hasira tambua mtu akiweka maoni tofauti na unavyowaza unadhani anakuchukia kumbe sivyo tunajaribu kuchagiza mada ili tupate ile sense of discussions from elite people

Cc min -me
Tunatoka nnje ya mada mkuu, tujikite na mada
 
O

Sawa,wakuelewa wataelewa,

Endelea kushusha nyuzi🔥
Jf ukiwa mgeni kuna mambo hutoelewa.
Uzi wangu wa kwanza jf kuna id moja iliyopewa ban juzi ilinivamia kukosoa ila nikapotezea.
Alivyoona simpi airtime akanifata Pm kuniomba samahani amejisikia vibaya nilivyomdharau, yeye anapenda akimvamia mtu jukwaani basi waanze kugombana.
 
Back
Top Bottom