Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Jf ukiwa mgeni kuna mambo hutoelewa.
Uzi wangu wa kwanza jf kuna id moja iliyopewa ban juzi ilinivamia kukosoa ila nikapotezea.
Alivyoona simpi airtime akanifata Pm kuniomba samahani amejisikia vibaya nilivyomdharau, yeye anapenda akimvamia mtu jukwaani basi waanze kugombana.
Sana,jf ukielewa haikuumizi kichwa, Kuna mmoja alikuwa ananitag Kila Uzi Kwa maudhi😂😂😂,sikuwahi kumjibu,,akaacha mwenyewe,
 
Back
Top Bottom