realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Baba ake Sasa mwenye mbegu zake 😅Muhimu per day uwe unanipa walau 20k ya matumizi😊
Baba ake Sasa mwenye mbegu zake 😅Muhimu per day uwe unanipa walau 20k ya matumizi😊
Hatatoa pesa au 😁 haya kaeni na mtoto wenuBaba ake Sasa mwenye mbegu zake 😅
Basi chagua tuje mahali unapopapenda kwa gharama zetu.Sipendelei sana
Ntawaunganisha jamani.Hatatoa pesa au 😁 haya kaeni na mtoto wenu
Mje ?Basi chagua tuje mahali unapopapenda kwa gharama zetu.
Shenziiiiiiii 🤣🤣🤣Ntawaunganisha jamani.
Mimi nitaenda zangu nje kupumzika.
Huko Sweden.
Nikajitibie maumivu
Wakwe zangu.Mje ?
wewe na nani
au hao unaolinda nao kwa mangi?
Yani hapa nimejichokea.Shenziiiiiiii 🤣🤣🤣
🤣🤣 aloo hii ni maajabuWakwe zangu.
Nao wanasema wana hamu ya kwenda outing.
Unajiendekeza shost 🙃Yani hapa nimejichokea.
Nimechoka sana.
Na hata Sina majukumu 😅
😅.Unajiendekeza shost 🙃
Mkao wa popo Kanyea mbingu unakaa ila kulea huwezi🤪😅.
Nitaanza kupambana
Ndio tumaini huendana na juhudiWanasema Imani bila matendo imekufa basi na Tumaini bila juhudi inaishia kuwa kitu Cha kufikirika
Sahihi, juhudi ndizo zina translate tumaini lako kuwa kitu halisia (tangible outcome), tumaini linakupa morale ya kuwa na juhudi, na juhudi zinafanya tumaini lako kuwa halisiaNdio tumaini huendana na juhudi
Sahihi mkuu asante sanaSahihi, juhudi ndizo zina translate tumaini lako kuwa kitu halisia (tangible outcome), tumaini linakupa morale ya kuwa na juhudi, na juhudi zinafanya tumaini lako kuwa halisia
Sana,jf ukielewa haikuumizi kichwa, Kuna mmoja alikuwa ananitag Kila Uzi Kwa maudhi😂😂😂,sikuwahi kumjibu,,akaacha mwenyewe,Jf ukiwa mgeni kuna mambo hutoelewa.
Uzi wangu wa kwanza jf kuna id moja iliyopewa ban juzi ilinivamia kukosoa ila nikapotezea.
Alivyoona simpi airtime akanifata Pm kuniomba samahani amejisikia vibaya nilivyomdharau, yeye anapenda akimvamia mtu jukwaani basi waanze kugombana.
Hata mimi hainiumizi kicwa dihaSana,jf ukielewa haikuumizi kichwa,
Sawa