Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Kutokuelewa vitu ee?
Ni matumaini yangu kuwa nipo salama.
Nimeisha mimi.
Mimi nilidhani ni kuchoka tu.
Halafu nikilala nakuaje mzito kuamka 🙆
Hasira nyingi 😝
Naweza mgombeza hadi Mama angu.
Baasiiiiiiiiii
Gudubaiiiiii🙅‍♂️
New baby mom in town 😍
 
Bila serikali kuwa serious na mahitaji ya wananchi kila mtu atageuka motivasheni spika, ni swala la muda tu🤔
Wewe huogopi ukiona yule jamaa wanamuita waziri wa maendeleo ya Vijana sijui nini na nini.
Pamoja na title yake ya Waziri lakini anawaletea vijana umotivesheni spika wake, unategemea mwananchi wa kawaida itakuwaje?
 
Muda wako wa lindo tayari au umewahi leo?
 
Back
Top Bottom