Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Take it easy what's problem?
wapi nimekuleta tafrani?

Ukishaleta thread hapa hairuhusiwi kupangia watu nini cha kuandika.

Jf a place where we dare to talk Open
Punguza mipasho wewe ni mtoto wa kiume huoni aibu ?
 
Tatizo lako unachukulia vitu personal na kupanic huku ukireact kwa hasira tambua mtu akiweka maoni tofauti na unavyowaza unadhani anakuchukia kumbe sivyo tunajaribu kuchagiza mada ili tupate ile sense of discussions from elite people

Cc min -me
Wewe kijana na huyo mwenzio sio mara kwanza kuleta kejeli na kubadili mwelekeo wa mada kwa kujifanya wajuaji sana

Nimewaepuka sana lakini ni kama mna ajenda yenu nisiyojua

Wewe unaanzisha nyuzi ushawahi kuniona nikija kwenye uzi wako kukukejeli au unahisi hua sioni nyuzi zako tena zingine za kipuuzi

Sijawahi kukataza mtu kutoa maoni Ila hiyo mipasho yenu na mafumbo yenu sipendezwi nayo
 
Kuwa na tumaini ni jambo jema sana, lakini tumaini hilo hilo lina upande mwingine ambao watu huwa hawauzungumzii.

Wakati mwingine tumaini huwa linaugeuza moyo na akili kuwa mateka wa matarajio yasiyo na mwelekeo, wapo wanaolitumia tumaini kama kisingizio cha kuendelea kukataa kuukubali ukweli ulio wazi mbele yao.
Sahihi Twin
Mfano halisi, unakutana na kijana amemaliza chuo miaka mitano iliyopita, yupo tu mtaani hataki kujifunza ujuzi mpya, hataki kujaribu biashara, au kilimo, kila siku anasema ana tumaini siku moja atapata kazi inayoendana na kile alicho kisoma, mtu wa aina hii kuwa na tumaini ni kama anakuwa kipofu asiyeona chochote, anakuwa hatambui fursa zingine zilizo nje ya kile alicho kisoma.
Exactly
Tumaini lina thamani pale linapoambatana na juhudi, kuna msemo unasema, while there's life, there's hope, lakini pia kuna ukweli mwingine unasema kwamba, not every hope becomes reality na huu ndiyo uhalisia wa maisha yetu ya kila siku.

kwa hiyo kwangu mimi, tumaini ni kuendelea kusonga mbele hata kama hujui matokeo yatakuwa kama ulivyopanga au Lah! ukiona njia uliyoitegemea haiwezekani tena isife moyo, tengeneza njia nyingine kwa sababu mwisho wa siku, kinachobadilisha maisha yetu sio kuwa na tumaini pekee bali ni kuwa na maamuzi, juhudi na uwezo wa kuukubali ukweli hata pale unapoonekana kuwa mchungu.
The Thinker 🧠
Karibu tena 😊
 
Uhuru wa kuandika hauondoi wajibu wa kujadili kwa hoja badala ya kejeli, ukiona mada ina mapungufu, ikosoe kwa mantiki ili wote tujifunze. Kejeli huwa haziijengi hoja wala haziongezi maarifa, zinaishia kuvuruga tu mjadala.
Huyu mada zangu zime mzidi uwezo na sio lazima achangie sio lazima kabisa
 
Jf ukiwa mgeni kuna mambo hutoelewa.
Uzi wangu wa kwanza jf kuna id moja iliyopewa ban juzi ilinivamia kukosoa ila nikapotezea.
Alivyoona simpi airtime akanifata Pm kuniomba samahani amejisikia vibaya nilivyomdharau, yeye anapenda akimvamia mtu jukwaani basi waanze kugombana.
Hua nina tabia ya kunyamaza sana hua natukanwa na sijibu

So kunyamanza kwangu haina maana kila nikipandisha mada wananiletea viwingu
 
Wewe kijana na huyo mwenzio sio mara kwanza kuleta kejeli na kubadili mwelekeo wa mada kwa kujifanya wajuaji sana

Nimewaepuka sana lakini ni kama mna ajenda yenu nisiyojua

Wewe unaanzisha nyuzi ushawahi kuniona nikija kwenye uzi wako kukukejeli au unahisi hua sioni nyuzi zako tena zingine za kipuuzi

Sijawahi kukataza mtu kutoa maoni Ila hiyo mipasho yenu na mafumbo yenu sipendezwi nayo
Take it easy
 
Hope inatakiwa iwepo huku mchakato unaendelea, ila ukikalisha kiuno tu ndani nakujifanyia mento mastabesheni ya matumaini, hapo ndio ujinga
Kweli mkuu,
hopes ni ujinga ujue kwanini usipo achieve kile unatumainia maumivu yake ni makali sana sana..
 
Back
Top Bottom