ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #121
Nakuahidi babe❤️Sasa ikiwa ni kweli naomba siku nikijifungua umfate tumalizane 😅
Nakuahidi babe❤️Sasa ikiwa ni kweli naomba siku nikijifungua umfate tumalizane 😅
Ndio tena uwe ni zaidi ya mara mojaHadi uchokozi utangulie si ndio 😝
Lindo lipi tena mzee.Muda wako wa lindo tayari au umewahi leo?
Au sio😊😅Lindo lipi tena mzee.
Mimi nipo mahali nilipo nasoma na ku comment nyuzi zenu miguu ikiwa juu.
NdiyoAu sio😊😅
Ndio hii hapa 🐍jaribu uoneNdiyo
Afu nilikuwa nauliza hiviii
Hivi kuna nyama tamu kuizidi kitimoto rosti ya kwa masistaa hapa Dodoma St Gema
Hamna kitu hapo.Ndio hii hapa 🐍jaribu uone
Wewe ni mtoto mzuri sana 😝Ndio tena uwe ni zaidi ya mara moja
Sipendi zogo mie
Umewahi kujaribu ?Hamna kitu hapo.
Bismillah MashaAllah 😍Wewe ni mtoto mzuri sana 😝
Utakuwa umenisaidia sana me mvivu 😅😝Nakuahidi baby
Muhimu per day uwe unanipa walau 20k ya matumizi😊Utakuwa umenisaidia sana me mvivu 😅😝
Ndio. Nilikula Wakati nipo kwa wasandawe. Nilipoenda kuwatembelea wakwe zangu huko Manyara.Umewahi kujaribu ?
Ulikula nyoka rangi gani ?Ndio. Nilikula Wakati nipo kwa wasandawe. Nilipoenda kuwatembelea wakwe zangu huko Manyara.
Kijani na KahawiaUlikula nyoka rangi gani ?
Jaribu black utarudi uniambieKijani na Kahawia
Hadi niende tena ukweni.Jaribu black utarudi uniambie
✅️Hadi niende tena ukweni.
❌️Siku nikienda nitakuchek twende wote. Weka ratiba yako flexible.
✅️
❌️
Sipendelei sanaHutaki kujumuika nasi?