Ukiweka mada tegemea maoni unayopenda na usiyopenda , ndivyo mijadala inavyokua ,pevuka.Hivi hua ni attention mnatafuta au hua ni nini?
Hivi umewahi kuona ni kidandia uzi wa mtu na kuanza upuuzi kama huu?
Hizi issue wangefanya wanawake ningelewa tunagombea bwana 🚮🚮🚮
Kina mwamposa nao wanajipigia tu, kwa kuwapa watu matumaini Hewanoma sana
Sidhani kama unachukia hopes, wewe utakuwa unachukia false hopes.Hakuna kitu kibaya kama kuwa na hopes
I really hate hopes
Pevuka wewe kwanza ni bora zaidi kuliko kuleta majungu hapaUkiweka mada tegemea maoni unayopenda na usiyopenda , ndivyo mijadala inavyokua ,pevuka.
Pita hivi kama hauoni,maana sio Kila mmoja atapenda ufanyacho,Sitaki upuuzi coz sio mara ya kwanza mtu akiona nimepandisha uzi anawashawa
Take it easy what's problem?Acha upumbavu saivi nakuona kila nikabandika uzi unakuja kunifanyia taflani halafu unajichekesha hovyo we kama hunikibari pita hivi acha kuleata fake smile hapa 🚮🚮🚮
Uliwahi kuona najibizana mimi?Pita hivi kama hauoni,maana sio Kila mmoja atapenda ufanyacho,
Hakuna majungu hapo , nimesoma mada nimetoa maoni ,majungu ili iweje? Sio kila anae toa maoni tofauti na matarajio yako anafanya majunguPevuka wewe kwanza ni bora zaidi kuliko kuleta majungu hapa
ujinga sana ndio maan I hurt hopesKina mwamposa nao wanajipigia tu, kwa kuwapa watu matumaini Hewa
Hope wkati mwigine inachelewesha na kudumaza , nivile ubongo unapenda comfort zone🤔Hujinga sana ndio maan I hurt hopes
Uhuru wa kuandika hauondoi wajibu wa kujadili kwa hoja badala ya kejeli, ukiona mada ina mapungufu, ikosoe kwa mantiki ili wote tujifunze. Kejeli huwa haziijengi hoja wala haziongezi maarifa, zinaishia kuvuruga tu mjadala.Take it easy what's problem?
wapi nimekuleta tafrani?
Ukishaleta thread hapa hairuhusiwi kupangia watu nini cha kuandika.
Jf a place where we dare to talk Open
Hivi hua ni attention mnatafuta au hua ni nini?
Hivi umewahi kuona ni kidandia uzi wa mtu na kuanza upuuzi kama huu?
Hizi issue wangefanya wanawake ningelewa tunagombea bwana 🚮🚮🚮
Unapoleta uzi kubali kila maoni muhimu mtu hajakutusi.Hivi hua ni attention mnatafuta au hua ni nini?
Hivi umewahi kuona ni kidandia uzi wa mtu na kuanza upuuzi kama huu?
Hizi issue wangefanya wanawake ningelewa tunagombea bwana 🚮🚮🚮
Thread hii ni mali ya wana jukwaa kwa sasaTake it easy what's problem?
wapi nimekuleta tafrani?
Ukishaleta thread hapa hairuhusiwi kupangia watu nini cha kuandika.
Jf a place where we dare to talk Open
Sawa,wakuelewa wataelewa,Uliwahi kuona najibizana mimi?
Nasema kua sipendi wajue tu basi
Tunatoka nnje ya mada mkuu, tujikite na madaTatizo lako unachukulia vitu personal na kupanic huku ukireact kwa hasira tambua mtu akiweka maoni tofauti na unavyowaza unadhani anakuchukia kumbe sivyo tunajaribu kuchagiza mada ili tupate ile sense of discussions from elite people
Cc min -me
Jf ukiwa mgeni kuna mambo hutoelewa.O
Sawa,wakuelewa wataelewa,
Endelea kushusha nyuzi🔥
Uko sahihi kabisa Hope ni ujingaHope wkati mwigine inachelewesha na kudumaza , nivile ubongo unapenda comfort zone🤔
Sema sio kila wakati🤔Uko sahihi kabisa Hope ni ujinga