Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Huu mkataba una matatizo ingawa sio mbovu kama hawa wanaoupinga. Kuna mambo mengi yamezushwa katika kupush agenda zao.
 
Msamehe bure huyo mleta mada. Alileta ligi ya kijinga na akakutana na mimi mjinga zaidi yake. Sasahivi uzi aliyeuanzisha mwenyewe anauogopa kama corona. Pumbavu zake
 
Hili swali ungewauliza hao wanaoipinga kuwa wana agenda gani?

Sio mimi!! Mimi nimeweka hoja mezani kama hauna majibu pita kama huioni!!
 
Usihamishe magoli. Toa majibu acha longolongo
Sijui akili zako huwa unazipeleka wapi wakati mwingine. Tukiondoa kipande hicho unachodandia wewe huo mkataba utakuwa mzuri?

Unakuja hapa na kujipiga piga ka-kifua kana kwamba umegundua jambo la maana sana, kumbe huna chochote?
 
Huu mkataba una matatizo ingawa sio mbovu kama hawa wanaoupinga. Kuna mambo mengi yamezushwa katika kupush agenda zao.
Ofcoz, huu mwanya wameuruhusu wenyewe waliotenda jambo hili baya kabisa. Wangekuwa na akili, wangeshachukua hatua sahihi mapema kulirekebisha kabla ya uharibifu zaidi kuwapata..

Lakini cha ajabu, wamekomaa na zigo lao la mavi kichwani wanatembea nchi nzima kujitetea na kila wapojitahidi kujitetea ndivyo wanavyoshindwa kueleweka kwa umma!!

These people are truly very stupid..!

Na kwa kuwa walioboronga ni wanasiasa wanaongoza serikali, it's obvious wanasiasa walio nje ya serikali na kwa kuwa nao lengo lao ni kuchukua dola, basi ni fursa kwao kutumia makosa yao hayo kama agenda ya kisiasa kuwapiga nayo mpaka wakose credibility na imani kwa umma...!!!

Hiyo ndiyo siasa brother. Do mistakes, then your opponent uses your mistakes to knock you down. Hata kama watakuwa wana exaggerate kama unavyodai, Yes, siasa ndivyo ilivyo. Hata wao wanajaribu kwa kila njia kufunika uchafu wao Kwa uongo juu ya uongo!!..... Hivyo, hili si la kushangaza kwenye siasa..!..
 
Tutabanana hapa hapa. Onyesha hicho kifungu mnachosema kwa kuingia huu mkataba tutapata 27tr. Kama huna hicho kifungu funga bakuli lako
Na bado haoni ujuha wake mtu huyu!

Ngoja nitafute kama kakujibu chochote kuhusu hili ulilomkumbusha hapa.
 
Hili swali ungewauliza hao wanaoipinga kuwa wana agenda gani?

Sio mimi!! Mimi nimeweka hoja mezani kama hauna majibu pita kama huioni!!
Umeweka hoja gani?

Umeanza kupotea na kushindwa kujibu maswali ya jambo ulilolianzisha mwenyewe, au siyo?
 
watakuja manyumbu wake wa chadema watatanguliza matusi kwanza
 
Kwahiyo sisi ambo tumesha verify identity tukijibu utatufanyia kipi?
 
Akabinafusishe bandari za mchambawima ndo tuzijadili hapa nyau wew
 
Angalia mikataba ya wenzenu inavyoshiba.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…