Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Uzuri kwa kuwa umetaja mwenyewe IGA haya tuambie kama Dubai ana uwezo wa kusaini IGA. Ukishindwa kujua au ukikubali baada ya kujua basi futa haya mataka taka yako mengine yoooote uliyojaza hapa
 
Umejibiwa kwa uzi kabisa!
Soma tena hili swali alafu linganisha na jibu lake!

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Mjifunzege kusoma maswali vizuri na kujibu kama yalivyoulizwa.

Alichofanya Mama Amon ni kuweka maneno mengi tu ila hajajibu swali popote pale.

Na nina kuhakikishia hakuna mwenye majibu ya hili swali hata huyo Lissu na wenzake walete Malaika
 
Hi
Uzuri kwa kuwa umetaja mwenyewe IGA haya tuambie kama Dubai ana uwezo wa kusaini IGA. Ukishindwa kujua au ukikubali baada ya kujua basi futa haya mataka taka yako mengine yoooote uliyojaza hapa
Hizi longolongo hazina nafasi kwenye huu uzi. Weka majibu na kama huna majibu pita kule. Fanya kama hujauona uzi!
 
Kwa akili yako ya kijinga kuna jibu ya hili swali hapo?

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Hata kuelezea swali nililouliza tu kakosea jambo linaloonyesha hajaelewa swali langu na amejibu opposite kabisaaa.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mama mama mama. Hadi mmejisahau sasa anakula watoto wake.
Tatizo sio wewe tatizo ni mfumo ulio uzoea.
 
Akili huna pumbavu
 
kabla hujacopy na kupaste link jifunzege kusoma mambo vizuri

Kwa swali nililouliza unaona kuna jibu hapo? Au na wewe ndo wale wale vihiyo?

Hili ndo swali;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Je unaona limejibiwa hapo?
 
Tundu lisu yuko majukwa
ani
Tundu Lisu yupo majukwaani anafanya siasa Bukoba, panda jukwaani mpe hilo swali, huku kwenye social media forum tuletee thinking yako na analysis yako juu ya statement zake.
 
Tundu lisu yuko majukwa

ani

Tundu Lisu yupo majukwaani anafanya siasa Bukoba, panda jukwaani mpe hilo swali, huku kwenye social media forum tuletee thinking yako na analysis yako juu ya statement zake.
Kwani hayupo JF? Ninavyojua mimi karibu hawa wanasiasa wakubwa wote wapo JF
 
IGA ya Italia na Algeria mwaka 2022 kwenye masuala ya nishati iliwekwa wazi kwamba Italia wangwekeza $4billions kwenye mashirikiano hayo.

Unauliza swali la kitoto sana, hata watu kukujibu wanaona uvivu. Kuna malaki ya IGA dunia na wewe sio ajabu hujawahi kuona hata zaidi ya tatu, halafu IGA za uwekezaji haziwezi kuwa sawa na za utamaduni, sheria, mazingira n.k
 
Atakuja kusema longolongo
 
Iweke hapa tuione
 
Sri Lanka walipowapa Wachina bandari ya Hambantota walitajiana kiasi kabisa cha uwekezaji wa dola bilioni 1.
 
Sri Lanka walipowapa Wachina banadari ya Hambantota walitajiana kiasi kabisa cha uwekezaji wa dola bilioni 1.
Bora hao Sirilanka waliwapa bandari moja. Sisi huku ni machizi na tutachekwa na dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…