Tumalize utata: Simba Vs Yanga nani ana uzi mkali?

Naomba namba za huyo mwenye jezi za nyeupe ya simba
 
Halafu kwanini hao warembo wa yanga wamenuna
 
Namungo na singinda have the best Jersey so far. azam gold is also better. wengine Hawa wametoa matambala ya kudekia sio simba sio yanga
 
Duuuh,huyo m-bet anavyopenda sifa, sasa ndiyo nini hicho?
 
namungo na singinda have the best Jersey so far. azam gold is also better. wengine Hawa wametoa matambala ya kudekia sio simba sio yanga
Ila kumbuka umeulizwa kati ya wa simba na Yanga. Watu wengi huwa wanafeli mtihani kwa kujibu swali wasiloulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…