Tumalize utata: Simba Vs Yanga nani ana uzi mkali?

Tumalize utata: Simba Vs Yanga nani ana uzi mkali?

Yanga - jezi ya kijani
Simba - jezi nyeupe
 
Usiangalie sana design

ANGALIA Ubora texture na quality.
UZITO WA UZI.

FICHA UJINGA ACHA KUIDHALILISHA JF.
 
huyo dada awa jezi ya simba aliyekunja ngumi nimeipenda nguo ya chini ameficha kitumbua cha 200
 
Hapa chini nimekuwekea Jezi zilizotrend zaidi kwenye mitandao ya kijamii hebu tuambie upi ni UZI MKALI
png_20230721_220508_0000.jpg
 
Attachments

  • 8aaf4fe616b44ec1a026a0fc58a56d23_359857040_18377923681042270_2046556602288553197_n.jpg
    8aaf4fe616b44ec1a026a0fc58a56d23_359857040_18377923681042270_2046556602288553197_n.jpg
    103.2 KB · Views: 2
  • 97a9689f14754df8aaadaa2b9b96ac77_361611626_18280267459135476_7170967260907887804_n.jpg
    97a9689f14754df8aaadaa2b9b96ac77_361611626_18280267459135476_7170967260907887804_n.jpg
    106.1 KB · Views: 1
Tumalize utata mwisho wa msimu nani kapata nini haya mambo ya viwalo ni ya kishoga shoga sana
 
Uzi mweupe na wa blue wa simba. Sheria Ngowi aache kujaza michoro mingi kwenye jezi unakuwa uchafu.
 
Jezi za Yanga zikitolewa mpaka zitolewe maelezo mengi kama mkataba wa DP World la sivyo hazitembei.
Thats proffessionalism bro. Jezi inabeba ujumbe ndio maana inabeba inatolewa maelezo huwezi kuwa na jezi haina purpose yoyote yan ikibuniwa inakua tu kama mpishi wa maandazi akiamka anajiamulia leo nitoe ya shape ya yai , siku nyingine duara.

Hivi vitu makolo ni ngumu kuelewa kwa sababu hawajazoea ufanisi kwa kila jambo
 
Sawa ndugu Uto zile tetris katika uzi wenu wa njano, Rasta kawaambia zinamaanisha nini?
 
Sawa ndugu Uto zile tetris katika uzi wenu wa njano, Rasta kawaambia zinamaanisha nini?
Kwa hiyo wewe ulisema zinatolewa maelezo na wala hukumsikiliza mbunifu? Ungetuliza ndonga kumsikiliza usingekua unajiabisha hapa
 
Back
Top Bottom