Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
mi mazoezi yamenishinda..ndio maana nahitaji tu aina ya vyakula ninavyotakiwa kula
maji ya uvuguvugu nakunywa..
Kukimbia ndio solution mkuu, kimbia atleast mara4 kwa week and kula kwa format hii 3-1-2-1 yani siku tatu unakula according to diet then moja unajiachia kidogo hapo unakula chips na soda kidogo then 2 unafuata diet moja inayofuata unajiachia kidogo. Unajiachia kidogo sio sana
kuna mama mmoja alikuwa na tumbo na weigh balaa.....kutoka 104 kilo
sa hivi ana 84.ni mtu wa mazoezi yeye hali wali wala ugali.akila ni siku moja moja
ndizi za kuiva nazo hali.....asubuhi anapiga glass ya maji vuguvugu 4.chai hanywi akinywa haina sukari kihivo
yeye anakula matunda sana sana na mboga mboga....chips,vyakula vya kukaangwa mafuta mengi nazo sio poa
ana DIET yake nimemwomba kuna shoga angu nae anasumbuliwa na tumbo + uzito akinipa nitakupa
mwallu hapo Parokiani hamna mafungo. Kama hamna mafungo jitahidi ufunge, ukeshe kwa kusali. Dawa ya kupunguza kitambi ni kupunguza kula hasa usiku.kweli..ngoja niwaite wengine waje watoe uzoefu Kaizer Heaven on Earth DEMBA MziziMkavu Rich woman miss strong ladyfurahia Ablessed Asprin Judgement Mentor Sungura2030 Chocs Arushaone kiwatengu shansarie Lady doctor kwa ushauri wa kitabibu na wengine woote
Alichokuambia NGULI ndicho cha kufanya; ukipunguza carbs (kifupi cha carbohydrates) mwili utaunguza mafuta yaliyopo tumboni ili kupata nishati ya kuendesha mwili na hivyo tumbo litapungua with time. Asubuhi unakula kiasi kwakuwa mchana kutwa chakula kitasagwa ila epuka wanga sana, usiku usile kabisa zaidi ya mboga za majani na matunda ambavyo havina sana carbs kwa kuwa hautaunguza sana. Kuhusu mazoezi si mtaalamu ila again ushauri wa Nguli makes a lot of sense.
asante sana in advance...ila jamani ugali ninavoupenda..itaniuma kuuacha
sa nikikimbia si nitapungua mwili wote ama?..maana lengo langu ni kupungua tumbo tu..chips nimeacha japo ni ngumu yani..
mwallu hapo Parokiani hamna mafungo. Kama hamna mafungo jitahidi ufunge, ukeshe kwa kusali. Dawa ya kupunguza kitambi ni kupunguza kula hasa usiku.
Vipi bia unakunywa?
du basi siku zote sikuwahi kuwa na tumbo mara ghafla naona linafutuka hivyo nikaanza mazoezi ya tumbo. kumbe ngoja niache nifanye ya kuruka ruka zaidi kama kamba n.k. mpaka litakapopungua ndio nianze mazoezi ya tumbo Lol!Kwanza pongezi kwa kugundua kuwa una ugonjwa. Tumbo ni ugonjwa na lina sababisha uzee kwa kasi ya ajabu. Punguza wanga asubuhi kula ushibe mchana kula kidogo na jioni usile kabisa kula matunda tu na ulale. Mazoezi fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea kwa miezi 6 tena asubuhi tu. Likishapungua ndip uanze mazoezi ya tumbo.
du basi siku zote sikuwahi kuwa na tumbo mara ghafla naona linafutuka hivyo nikaanza mazoezi ya tumbo. kumbe ngoja niache nifanye ya kuruka ruka zaidi kama kamba n.k. mpaka litakapopungua ndio nianze mazoezi ya tumbo Lol!