Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

nakula dona ilochanganywa n mhogo,hiyo mbaya?

Yani wewe ungepaswa kuwa mke wangu wa pili. Hicho ndo chakula changu kikuu ananipikia bibi yenu. Yani hiyo makitu ukashushia na chuzi la samaki, mchicha na bamia.... afu pembeni kuna juice ya embe + parachichi au kama vipi mtindi wa Tanga fresh.

Ah ngoja nipitie hapo Breakpoint kwanza chapchap sana.
 
hapo kwenye mazoezi ndo shida ipo....halafu huo wanga,napenda sana kula ugali,wali,uji wa ulezi...nimepunguza kula chips lakini waap
asante kwa ushauri

Kwa sasa inaonekana hauko commited...mazoezi yanahitaji commitment na displine ya kufa mtu. Mm nachofanya naamka saa 11 kamili naingia gym saa 12 kasoro robo napiga aerobics au cardio classes mpaka saa moja kamili then naoga naingia ofisini saa 2 kasoro robo. Kwa nn nafanya mazoezi asubuhi ukifanya mazoezi asubuhi you burn storage.... ukifanya jioni una burn ulichokula asubuhi na mchana then unakula tena unalala. So asubuhi ni safi sana hasa kwa anayetaka kupungua sio kuweka misuli/body builder. Jumamosi na jumapili naamka saa 12 kamili nakimbia km 7. Na kunywa maji lita 3 kila siku.
 
samaki +bamia na dona mamaaaaa.......
halafu dona inavokua tamu ,yani mpaka basi..hapo kwenye mke wa pili ndo pamefeli
 
dress code ya wanaokuja hapo ikoje?

Polisi sentro hatuna komplikesheni...kwanza ukija umevaa sana tunakupunguzia mizigo!

Tunapatikana opposite na stesheni mkabala na TRA ofisi.

Hiyo makitu mangi inisaidiaga sana nikiwa kwenye dose. Naitumia kumezea dawa badala ya kutumia maji

Mh! Amekwisha potea...amekwisha potea...umemuhalalishia mtawa hii makitu!???
 
we nadhani unataka nife wewe
unapotoka kwenye majukumu usipande gari. Piga mguu. Sijakuambia uende kwenye majukumu kwa miguu, usijetapisha watu kwa harufu ya naniliu na kikwapa.
 
niko serious NGULI yani more than you can imagn..naamka amapema sana nakimbizana na mabus ya hapa mjini..job natakiwa saa moja na dk 40..kwa hiyo inaniwia vigumu kujenga displini ya mazoezi..ndo maana nikaomba msaada kwa njia ya chakula tu..mazoezi maybe kwa weekends..
 
Last edited by a moderator:
nikakutembelea siku moja.. Asprin hawezi kunipoteza ..toka lini babu akapoteza mjukuu?
Polisi sentro hatuna komplikesheni...kwanza ukija umevaa sana tunakupunguzia mizigo!

Tunapatikana opposite na stesheni mkabala na TRA ofisi.



Mh! Amekwisha potea...amekwisha potea...umemuhalalishia mtawa hii makitu!???
 
Last edited by a moderator:
Punguza mafuta mawanga Na uncle sana ucku (kula vyakula laini ka viaz ndiz tambi Na matunda bla kusahau mazoezi ya mwili
 
hapo nilipo bold sijaelewa mkuu
halafu viazi vitamu au??
Punguza mafuta mawanga Na uncle sana ucku (kula vyakula laini ka viaz ndiz tambi Na matunda bla kusahau mazoezi ya mwili
 
Kwa kutumia lishe maalumu iliyoandaliwa kwa ajili hiyo utaweza kufanikisha lengo lako. Nimewasaidia wengi kwa lishe hasa wale ambao wanakwenda maofisini na kukosa muda wa mazoezi ikiwa inachangiwa na uvivu pia.
 

mkuu wife ananyonyesha sasa akipunguza kula itakuwaje?
 
naweza ipata hiyo lishe health?
Kwa kutumia lishe maalumu iliyoandaliwa kwa ajili hiyo utaweza kufanikisha lengo lako. Nimewasaidia wengi kwa lishe hasa wale ambao wanakwenda maofisini na kukosa muda wa mazoezi ikiwa inachangiwa na uvivu pia.
 
Last edited by a moderator:
Uwe unatumia asali ukiamka asubuhi unajipatia maji ya moto then shushia na asali , asali inafanya mwili uwe na nguvu na unakua husikii njaa...mchana kula msosi wa kawaida tu ujishibie kiasi na usiku pata matunda....usinywe maji ya baridi...ukipata wakati uwe unatembea hata dakika 40 hv na ukiweza kuwa unatembea huku unaongea ina burn more calories....muhimu ni uvumilivu na juhudi...hii ndio siri ya mafanikio
 
Last edited by a moderator:
Kunywa mchuzi tu kila siku jioni, mchana kula fruits, asubuhi kunywa chai na andazi moja.
 
kufunga mkanda ukiufungua si ndo tumbo lina relax ?..
kwa hapo ni ngumu ila atumie maji moto kwa wingi na afunge mkanda kwa wakati wa mchana na usiku autoe labda ataweza pungua ngoja nimwite tabibu ndugu yangu Lady doctor asaidie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…