Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakula dona ilochanganywa n mhogo,hiyo mbaya?
unapotoka kwenye majukumu usipande gari. Piga mguu. Sijakuambia uende kwenye majukumu kwa miguu, usijetapisha watu kwa harufu ya naniliu na kikwapa.muda ninaotoka na kurudi kutoka majukumuni unanibana sana
hapo kwenye mazoezi ndo shida ipo....halafu huo wanga,napenda sana kula ugali,wali,uji wa ulezi...nimepunguza kula chips lakini waap
asante kwa ushauri
Yani wewe ungepaswa kuwa mke wangu wa pili. Hicho ndo chakula changu kikuu ananipikia bibi yenu. Yani hiyo makitu ukashushia na chuzi la samaki, mchicha na bamia.... afu pembeni kuna juice ya embe + parachichi au kama vipi mtindi wa Tanga fresh.
Ah ngoja nipitie hapo Breakpoint kwanza chapchap sana.
dress code ya wanaokuja hapo ikoje?
Hiyo makitu mangi inisaidiaga sana nikiwa kwenye dose. Naitumia kumezea dawa badala ya kutumia maji
Kwa sasa inaonekana hauko commited...mazoezi yanahitaji commitment na displine ya kufa mtu. Mm nachofanya naamka saa 11 kamili naingia gym saa 12 kasoro robo napiga aerobics au cardio classes mpaka saa moja kamili then naoga naingia ofisini saa 2 kasoro robo. Kwa nn nafanya mazoezi asubuhi ukifanya mazoezi asubuhi you burn storage.... ukifanya jioni una burn ulichokula asubuhi na mchana then unakula tena unalala. So asubuhi ni safi sana hasa kwa anayetaka kupungua sio kuweka misuli/body builder. Jumamosi na jumapili naamka saa 12 kamili nakimbia km 7. Na kunywa maji lita 3 kila siku.
Polisi sentro hatuna komplikesheni...kwanza ukija umevaa sana tunakupunguzia mizigo!
Tunapatikana opposite na stesheni mkabala na TRA ofisi.
Mh! Amekwisha potea...amekwisha potea...umemuhalalishia mtawa hii makitu!???
Kwanza pongezi kwa kugundua kuwa una ugonjwa. Tumbo ni ugonjwa na lina sababisha uzee kwa kasi ya ajabu. Punguza wanga asubuhi kula ushibe mchana kula kidogo na jioni usile kabisa kula matunda tu na ulale. Mazoezi fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea kwa miezi 6 tena asubuhi tu. Likishapungua ndip uanze mazoezi ya tumbo.
kweli..ngoja niwaite wengine waje watoe uzoefu Kaizer Heaven on Earth DEMBA MziziMkavu Rich woman miss strong ladyfurahia Ablessed Asprin Judgement Mentor Sungura2030 Chocs Arushaone kiwatengu shansarie Lady doctor kwa ushauri wa kitabibu na wengine woote
kwa hapo ni ngumu ila atumie maji moto kwa wingi na afunge mkanda kwa wakati wa mchana na usiku autoe labda ataweza pungua ngoja nimwite tabibu ndugu yangu Lady doctor asaidie hapa