Tumchague mwenyekiti wa chit chat Baba V ajiuzulu?

Tumchague mwenyekiti wa chit chat Baba V ajiuzulu?

Hapa cc hakuna ndoa wala nini mnataka mwenyekiti wa nini.
 
"Mti wenye matunda mazuri ndo unaopigwa mawe" watu wengi hapa wanataka tu kuongeza jina langu kwenye CV zao.. wakikuwa ntawaozesha..!!

Ni kama wanampiga teke Chura!
Either umaarufu wako unaongezeka!
 
Yaani nimepigiwa simu ooh kuna mapinduzi.. Nikaja mbio hapa kumbe loh.. Ni majaribio ya mapiku tu yanaendelea..
 
Back
Top Bottom