.....Mbona kitambo ashakalia kiti...huna habaritumchague mwenyekiti wa chitchat,lol unatetea mwenzio kisirisiri
Mwenyekiti ni mimi km hujui
Ufike ofisini kwangu first thing tommorow morning.. uje na vitambulisho vyako vyote ikiwemo vya kielektroniki...
Una celebral malaria?umerudi hata ku quote hujui
Una celebral malaria?umerudi hata ku quote hujui
"Mti wenye matunda mazuri ndo unaopigwa mawe" watu wengi hapa wanataka tu kuongeza jina langu kwenye CV zao.. wakikuwa ntawaozesha..!!
Hapa cc hakuna ndoa wala nini mnataka mwenyekiti wa nini.
Kuna wanaopendekeza eti kamme kako ka- Bishanga kawe kacheamen! Sema machache ktk hili ,
The secretary
Mama v
Chocs
Nani anafaa kuwa Firstlady?
Kuna wanaopendekeza eti kamme kako ka- Bishanga kawe kacheamen! Sema machache ktk hili ,
The secretary
Mama v
Chocs
Nani anafaa kuwa Firstlady?
Heeeh..
BTW hujambo wewe