Tumchague mwenyekiti wa chit chat Baba V ajiuzulu?

Ganja mbaya sana!!
some times ina turn things into vise versa...
eti Lady doctor ni single?
eti hata figganigga nae?
ganja bana....

Mkuu huyu Excellent mm mwenyewe nashindwa kuelewa jina la bange alovuta!
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimepigiwa simu ooh kuna mapinduzi.. Nikaja mbio hapa kumbe loh.. Ni majaribio ya mapiku tu yanaendelea..

Hamna kitu... ni Excellent nanihii zimempanda sasa anataka apate "mupenzi" kinguvu ikiwemo hata kufanya mapinduzi... Nimempa CV ya mapinduzi yote hapa... nadhani ameisoma namba na kwa bahati nzuri nimeona kama wanaenda sawa na somebody Faith. I hope akipata ile kitu zikamshuka atatulia...
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha.. ina maana Baba V yale mavitu yakipanda unawehuka lol..?
 
Last edited by a moderator:
Baba V ana muda mrefu haja rest in server na hii ni baada ya kutoka kwao
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.. ina maana Baba V yale mavitu yakipanda unawehuka lol..?

Huyu jamaa nahisi alikula nyama ya kamnyama flani hivi.... kana tabia kenyewe zikikapanda kanagonga chochote...iwe mti, jiwe, ardhi e.t.c.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…