Pre GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuanza mchakato wa kugawa na kubadili Majina ya Majimbo kuanzia Februari 27, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna jipya majimbo ya uchaguzi yanatakiwa kuwa ya kimikoa tu, mbona wakuu wa mikoa wanafika kona zote za mikoa yao, hao wabunge wananshindwa nini?
Kwani wakuu wa mikoa wanachaguliwa na nani?
 
No reforms no election
 
Hoja yangu ni kuwa wabunge wapungue ni wengi mno hakuna haja ya kuwa nao wengi ila idadi yao ifananane na idadi ya mikoa kwa maana kwamba kila mkoa uwe ni jimbo moja la uchaguzi
Hiyo haiwezekani hata kidogo na ni kuminya sauti za watu
 
Hoja yangu ni kuwa wabunge wapungue ni wengi mno hakuna haja ya kuwa nao wengi ila idadi yao ifananane na idadi ya mikoa kwa maana kwamba kila mkoa uwe ni jimbo moja la uchaguzi
Tutatengenezeanaje fursa za kula kutoka shamba la bibi na kuwakamua hadi damu ng'ombe wake wa maziwa.
 
Jaji Mwambegele amewakumbusha wadau wote wenye maombi wahakikishe kuwa mapendekezo yanajadiliwa katika Kamati ya Ushauri ya Wilaya
Sasa hapa mdau utahakikishaje?? Wakikataa kujadili utawafanyaje? Hili jukumu la mdau kuhakikisha ana uhakika linatekelezeka kweli?
 
USAID hawapo tena

UK wamepunguza 40% ya Misaada ya kimataifa

Kwenye hiyo Nusu Mkate msisahau hilo 🐼
India wabunge 550 idadi ya watu 1.45bil
Tanzania wabunge 393 idadi ya watu 63mil

Kwa muelekeo huu na sisi Tanzania tukifikia idadi ya watu 1.45bil tutakuwa na wabunge 9,046
 
Ni kutupngezea gharama tu

Wapunguze ma jimbo yabaki 100 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…