mnkenimtaita78
Member
- Aug 29, 2018
- 78
- 95
Bado tume ya uchaguzi Kenya ni Bora mara elfu kwa hii ya Tanzania.Labda hujafuatilia mchakato mzima Wa uchaguzi ulivyoenda tangu mwanzo. Maneno ya utangulizi ya Chebukati Mwenyekiti Wa tume uliyasikiliza vizuri?Ameeleza wazi kuwa Kuna vitisho vilifanyika ili kubadilisha matokeo lakini yeye amesimamia kiapo chake.