Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi

Kweli uumbaji wa Mungu hauna makosa. Tumwache Mungu aliyekuumba Zuzu aitwe Mungu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hovyo kabisaa,naisikitikia Sana familia YAKO,Inaongozwa na MTU WA HOVYO KABISAA[emoji23][emoji23]
Panua domo nikumwagie genye umeze
 
Yaani kwa sababu wewe umezaliwa na baba na mama yako basi wewe si mtu?
Acha ubabaishaji,unajua nini nakiongelea..

Waswahili wanamsemo unaosema "Mwizi Msomali hakimu Msomali haki itapatikanaje?".

Katiba mpya ndio jibu la matatizo yote ya kisiasa Tanzania
 
Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi

upuuzi
 
Siasa ni biashara kila Mtu anavutia upande wake
Sisi tubaki watazamaji
 
Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi

Tume huru kama ya Kenya itapowasili Tz, Wale waliotuambia tuhamie Burundi, watatangulia wao.

No Tume huru ya uchaguzi, No uchaguzi,

No KATIBA mpya no UCHAGUZI.

Ameeeen.
 
Acha ubabaishaji,unajua nini nakiongelea..

Waswahili wanamsemo unaosema "Mwizi Msomali hakimu Msomali haki itapatikanaje?".

Katiba mpya ndio jibu la matatizo yote ya kisiasa Tanzania
Mkuu Kuna msemo unasema" fisi akiwa hakimu,mbuzi Hana HAKI" nakubaliana nawe
 
Nami nakubaliana na wewe Tanzania tuna Tume Bora kabisa ya uchaguzi tatizo letu watanzania tunaendeshwa na matamko ya wanasiasa yasiyo na nia njema.

Tunapaswa kuamini kuwa hakuna Viongozi wanaopenda nchi zao ziwe na machafuko ndio maana kila jambo Lina msemaji wake tukiacha kila mtu ajisemee lolote analotaka kama walivyofanya Kenya kwenye uchaguzi kwamba kila mtu anakua na matokeo yake si salama kwa Taifa.

Sipingi kuwa tunahitaji uwazi kwenye uchaguzi au Kenya wamefanya vibaya lakini Kuna mambo mengine ni ya kuyaangalia mapema nini matokeo yake kabla ya kuruhusu kufanyika tatizo linalotokea Sasa hivi.

Kenya ni matokeo ya kuruhusu kila mtu kuwa na msemaji na kuwa na matokeo yake kila mtu ameenda kwenye ukumbi wa Bomas na matokeo yake mfukoni.
Kikubwa ni ukweli wa matokeo sio kila mtu kujisemea. Kama ukweli upo kuna ubaya gani kila mtu kujisemea?Kuna watu wanataka kubariki mambo machafu yafanyikayo Tanzania just bcoz wanamaslahi..
 
Tume huru kama ya Kenya itapowasili Tz, Wale waliotuambia tuhamie Burundi, watatangulia wao.

No Tume huru ya uchaguzi, No uchaguzi,

No KATIBA mpya no UCHAGUZI.

Ameeeen.
utakuwa una Bet
 
Back
Top Bottom