mnkenimtaita78
Member
- Aug 29, 2018
- 78
- 95
Kwa hiyo vurugu zikitokea ndo kusema kwamba hakuna tume huru? Walioleta vurugu ni ccm ya kenyaChadema waliokuwa wanasema Kenya kuna tume huru ya uchaguzi sijui watasema nini tena kuhusu yale yaliyotokea ukumbini
Vurugu ya nini kama kila kitu kilifanyika kwa haki.?Kwa hiyo vurugu zikitokea ndo kusema kwamba hakuna tume huru? Walioleta vurugu ni ccm ya kenya
Sasa kipindi ambacho hakuna chama pinzani ulitegemea nani aje aongoze nchi.?Awamu ipi imeongozwa na chama kingine?
Tanzania hakuna tume huru ya uchaguzi. Wajumbe wake wanateuliwa kwa lengo la kuhakikisha CCM inashinda sio kuendesha uchaguzi huru na wa haki.Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
Sasa kipindi ambacho hakuna chama pinzani ulitegemea nani aje aongoze nchi.?
Haswa wewe ndiyo kiongozi waoHamia Kenya utuache sisi ni ujinga wetu- tunajidai na THE POWER OF THE STUPID
Muulize mumeo MboweKwa nini kulikuwa hakuna upinzani? Chama kimoja kinawatala miaka 60 huoni tumevurugwa? Wakenya hao na demokrasia yao.
Labda mumeo aende Burundi mm bado nipo snHuna namna na kwa vile tuko wengi na mtu atatuongoza kwa kupata kura nyingi na kutoka kwetu- ama uunganenasi; utuvumilie; au uende Burundi
Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi