Kwanini yasiongezwe majimbo kama 95 ivi, ili kila chawa awe mbungeMwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Mei 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa Majimbo mapya mawili ambayo ni Jimbo la Kivule na Jimbo la Chamazi.
====
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kukubali kuanzisha majimbo mapya ya uchaguzi nane katika mikoa mbalimbali nchini huku majimbo 12 yakibadilishwa majina.
Akizungumza na wanahabari Jijini Dodoma leo tarehe 12 Mei, 2025 Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Jacobs Mwambegele amesema Katika mkoa wa Mbeya limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo Mbeya mjini limegawanywa na kuanzishwa jipya la Uyole
Katika mkoa wa Dodoma, limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo Dodoma mjini limegawanywa na kuanzishwa jimbo jipya la Uchaguzi la Mtumba.
Mkoa wa Simiyu limeanzishwa Jimbo jipya la Bariadi mjini ambapo jimbo la Bariadi limegawanywa.
Mkoa wa Geita yameanzishwa majimbo mawili ambayo ni Katoro na Chato Kusini yakigawanywa majimbo ya Busanda na Chato.
Mkoa wa Shinyanga limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo Jimbo la uchaguzi la Solwa limegawanywa na kuanzishwa jipya la Itwangi.
Katika Mkoa wa Dar es salaam Majimbo mawili yamegawanywa na kuanzishwa majimbo mapya mawili ambapo Ukonga limegawanywa na kuanzishwa jipya la kivule, na jimbo la mbagala limegawanywa na kuanzishwa jimbo jipya la Chamazi.
Soma, Pia
Kaa kwa kutuliaKodi yangu inaenda kulisha hawa wabunge wapya.
YataongezwaKwa
Kwanini yasiongezwe majimbo kama 95 ivi, ili kila chawa awe mbunge
Chukua fomu ugombee na weweWahuni wanakwenda kuongezwa
Kiroja,badala ya kupunguza majimbo.🫢Jerry silaa, Tulia, wamepambana had ugali wao umelindwa lol.
Unatoa Kodi kiasi we dada?Kodi yangu inaenda kulisha hawa wabunge wapya.
Inashangazaa mnoo.Kiroja,badala ya kupunguza majimbo.🫢
Hilo neno "Huru" halina maana yoyote hapo, ni hadaa na kudanganya wananchi.Tume Huru ya Uchaguzi yatangaza majimbo mapya nane, Dar es Salaam yapata Kivule na Chamazi
Kwa tulia ngoma bado mbichi Jimbo la uyole atasimama sugu Jimbo la Mbeya mjini yupo mwambukusi; ila kama reforms zikifanyika otherwise no reforms no electionsJerry silaa, Tulia, wamepambana had ugali wao umelindwa lol.
well done INEC 💪👊Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Mei 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa Majimbo mapya mawili ambayo ni Jimbo la Kivule na Jimbo la Chamazi.
====
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kukubali kuanzisha majimbo mapya ya uchaguzi nane katika mikoa mbalimbali nchini huku majimbo 12 yakibadilishwa majina.
Akizungumza na wanahabari Jijini Dodoma leo tarehe 12 Mei, 2025 Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Jacobs Mwambegele amesema Katika mkoa wa Mbeya limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo Mbeya mjini limegawanywa na kuanzishwa jipya la Uyole
Katika mkoa wa Dodoma, limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo Dodoma mjini limegawanywa na kuanzishwa jimbo jipya la Uchaguzi la Mtumba.
Mkoa wa Simiyu limeanzishwa Jimbo jipya la Bariadi mjini ambapo jimbo la Bariadi limegawanywa.
Mkoa wa Geita yameanzishwa majimbo mawili ambayo ni Katoro na Chato Kusini yakigawanywa majimbo ya Busanda na Chato.
Mkoa wa Shinyanga limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo Jimbo la uchaguzi la Solwa limegawanywa na kuanzishwa jipya la Itwangi.
Katika Mkoa wa Dar es salaam Majimbo mawili yamegawanywa na kuanzishwa majimbo mapya mawili ambapo Ukonga limegawanywa na kuanzishwa jipya la kivule, na jimbo la mbagala limegawanywa na kuanzishwa jimbo jipya la Chamazi.
Soma, Pia
SingaAhsante jimbo langu halikuganwanywa. Jimbo lina idadi ndogo sana ya wananchi lakini mbunge wa zamani baada ya kuona hataweza kushinda uchaguzi ujao, akahamasisha jimbo ligawanywe ili wagawane na mbunge aliepo sasa.
Nashukuru tume imepiga chini hayo maombi ya kipumbavu. Niligombana na mbunge wa zamani kwa kupinga hoja yake ya kugawa jimbo ili yeye agombee. Sasa ngoja niendelee kukorofishana nae kwenye WhatsApp.
Watanganyika wanaongezewa gharama zisizo za lazima ili kuwapatia watu ulaji.Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Mei 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa Majimbo mapya mawili ambayo ni Jimbo la Kivule na Jimbo la Chamazi.