PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi yatangaza majimbo mapya nane, Dar es Salaam yapata Kivule na Chamazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa
Kwanini yasiongezwe majimbo kama 95 ivi, ili kila chawa awe mbunge
 
Mbeya mbeya mbeya mbeya mjini pale KWA yule mrefu kuliko wote au ndo tuseme
 
Majimbo mengine vipi? Maana kuna majimbo ni makubwa kijiografia huduma zinakuwa ngumu kuwafikia raia ie..jimbo la Moshi Vijijini.
 
Jerry silaa, Tulia, wamepambana had ugali wao umelindwa lol.
Kwa tulia ngoma bado mbichi Jimbo la uyole atasimama sugu Jimbo la Mbeya mjini yupo mwambukusi; ila kama reforms zikifanyika otherwise no reforms no elections
 
well done INEC 💪👊
 
Sio tu jimbo, Katoro ina hadhi ya kuwa wilaya kuliko hata Chato! Hata hivyo ni heri manake tangu nizungumze suala la hadhi ya Katoro haijapita hata miezi 2 manake kimsingi walikuwa wanatubania tu!
 
Singa
 
Watanganyika wanaongezewa gharama zisizo za lazima ili kuwapatia watu ulaji.

Majimbo kama Uyole na Chato kuna uwezekano yamegawanywa ili wanasiasa fulani wahakikishiwe majimbo ya kugombea wasigongane kwani kila mmoja wao lazima apate jimbo ka kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…