PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi yatangaza majimbo mapya nane, Dar es Salaam yapata Kivule na Chamazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wanajaribu kufanyia kazi mambo ya Lissu. Taratibu tu tutaelewana.
 
Hata faida ya kuwa na bunge siioni mimi, watu kazi yao kugonga meza , kuruka sarakasi na kumsifia Samia.
 
Mbeya lzm wangegawanya Kwa ajili ya Tulia
But this is not fair ,yaani gharama zinaongezeka

 
Mnachezea tu hela za walipa kodi. Badala ya kuongeza idadi ya hayo majimbo ili kuwapatia watu ulaji! Mngeboresha maisha ya wananchi kwa kuwapatia miundombinu bora ya barabara, miundombinu ya umwagiliaji kwa ajili ya kilimo cha kisasa, umeme wa bei nafuu, masoko kwa ajili ya bidhaa zao, hospitali za kisasa, mngeboresha maisha ya watu kwa kuwapatia ruzuku kwenye kilimo na ufugaji, mikopo yenye masharti nafuu kwa wafanyabiashara, nk.

Wananchi walio wengi wanahitaji zaidi huduma bora za kijamii na pia maisha bora. Na siyo majimbo ya kisiasa.
 
Kuongeza majimbo ni namna ya kuwapa watu wengine nafasi wala haina maana.

Kwani jimbo likiwa na watu wengi kunakua na ugumu gani kuwakilisha?

Mbona rais ni mmoja linchi zima?
Halafu mtu anasema uchaguzi uhairishwe! kama TrueVoter
 
Nani anafikiria hayo, kikubwa ni matumbo yao
 
Pongezi kwa kuongeza mzigo kwa walipa kodi?Tulitegemea majimbo yapungue kwa 25% na viti vya walemavu wasiotaka kwenda majimboni kugombea kwa kisingizio cha maalumu vifutwe kabisa.
lengo la kuongeza majimbo ni kupanua wigo wa uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi kitaifa, lakini pia kusogeza huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi, full stop.

kinyume na hapo ni upotoshaji gentleman
 
Mzigo mwingine usio na faida yoyote kwa wananchi. Ulaji mpya kwa CCM.​
 
Tunaongeza, u kubwa, wa, bunge,gharama za kawaida,
Kwa nini sio kuongeza tawi la hospitari,au shule,
 
Lete I wagombea tuwapigie kura chap chap.
 
Kwa dsm yanatakiwa yaongezwe. Hii ni kwa mujibu ya kanuni ya uwakilishi.
We don’t need mbunge after every 400,000 people

Bunge lingepunguzwa Kwa 50%

Uwakilishi uanzie binadamu milioni moja
 
lengo la kuongeza majimbo ni kupanua wigo wa uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi kitaifa, lakini pia kusogeza huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi, full stop.

kinyume na hapo ni upotoshaji gentleman
Kuongeza gharama za matumizi ya serikali ili kuongeza wigo wa walamba asali kwa kisingizio cha kusogeza huduma za kijamii kwa wananchi ni zaidi ya upotoshaji.
 
Kuongeza gharama za matumizi ya serikali ili kuongeza wigo wa walamba asali kwa kisingizio cha kusogeza huduma za kijamii kwa wananchi ni zaidi ya upotoshaji.
hiyo ni dhana potofu gentleman miongoni mwa wenye uelewa na ufahamu wa kutosha dhidi ya mambo haya,
serikali ndio hao hao wananchi, na kwahivyo hakuna gharama yoyote katika kutimiza malengo na mahitaji yako ya kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…