Kwangu mimi ni bora ugawanye halmashauri zenye maeneo makubwa ziwe zaidi ya moja. Mfano halmashauri za mpwapwa, moshi vijijini, iringa vijijini mbeya jiji n.k ili kusogeza huduma kwa jamii karibu zaidi kuliko kuongeza majimbo ya uchaguzi kumpa mtu mmoja ulaji ...